-
Marko 2:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Lakini waandishi wa Mafarisayo, walipoona akila na watenda dhambi na wakusanya kodi, wakaanza kuwauliza wanafunzi wake: “Je, yeye hula pamoja na wakusanya kodi na watenda dhambi?”
-
-
Marko 2:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Lakini waandishi wa Mafarisayo, walipoona alikuwa akila pamoja na watenda-dhambi na wakusanya-kodi, wakaanza kuwaambia wanafunzi wake: “Je, yeye hula pamoja na wakusanya-kodi na watenda-dhambi?”
-