-
Marko 4:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Naye akaanza tena kufundisha kando ya bahari. Na umati mkubwa sana ukakusanyika karibu naye, hivi kwamba akapanda ndani ya mashua akaketi baharini, lakini umati wote kando ya bahari ulikuwa juu ya ukingo.
-