-
Marko 4:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Tena akawaambia: “Ikiwa hamwelewi mfano huo, basi mtaelewaje mifano mingine yote?
-
-
Marko 4:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Zaidi, akawaambia: “Hamjui kielezi hicho, na kwa hiyo mtaelewaje vielezi vingine vyote?
-