-
Marko 5:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Alikuwa amefungwa mara nyingi kwa pingu na minyororo, lakini aliikata minyororo na kuzivunja pingu; na hakuna mtu aliyeweza kumzuia.
-
-
Marko 5:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 kwa sababu nyakati nyingi alikuwa amefungwa kwa pingu na minyororo, lakini ile minyororo ilikatwa-katwa naye na zile pingu zilivunjwa-vunjwa kabisa; na hakuna mtu aliyekuwa na nguvu ya kumtiisha.
-