-
Marko 5:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Naye akaenda zake akaanza kupiga mbiu katika Dekapolisi kuhusu mambo yote ambayo Yesu alimfanyia, na watu wote wakaanza kustaajabu.
-