-
Marko 5:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 Yule mwanamke akijua lililompata, akaja akitetemeka kwa hofu akaanguka chini mbele yake, akamwambia ukweli wote.
-
-
Marko 5:33Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
33 Lakini huyo mwanamke, akiwa mwenye kuogopa na akitetemeka, akijua lililokuwa limetukia kwake, akaja akaanguka chini mbele yake akamwambia kweli yote.
-