-
Marko 7:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Basi akawaambia: “Je, ninyi pia hamwelewi kama wao? Je, hamjui kwamba mtu hawezi kuchafuliwa na kitu kinachoingia ndani yake,
-
-
Marko 7:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Kwa hiyo yeye akawaambia: “Nyinyi pia hamna ufahamivu kama wao? Je, hamjui kwamba hakuna chochote kutoka nje kipitacho ndani ya mtu kiwezacho kumtia unajisi,
-