- 
	                        
            
            Marko 8:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
25 Akaweka tena mikono yake juu ya macho ya mtu huyo, naye akaona vizuri. Akawa tena na uwezo wa kuona, naye alikuwa akiona kila kitu waziwazi.
 
 - 
                                        
 
- 
	                        
            
            Marko 8:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
 - 
                            
- 
                                        
25 Kisha akaweka mikono yake tena juu ya macho ya huyo mtu, na huyo mtu akaona waziwazi, naye akarudishiwa kuona, naye alikuwa akiona kila kitu dhahiri.
 
 -