-
Marko 8:35Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
35 Kwa maana yeyote yule atakaye kuokoa nafsi yake ataipoteza; lakini yeyote yule aipotezaye nafsi yake kwa ajili yangu na kwa ajili ya habari njema ataiokoa.
-