-
Marko 9:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 mavazi yake ya nje yakaanza kumetameta, yakawa meupe kuliko vile mfuaji nguo yeyote duniani angeweza kuyasafisha.
-
-
Marko 9:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 na mavazi yake ya nje yakawa yenye kumetameta, yakiwa meupe zaidi kuliko vile msafisha-nguo yeyote duniani angeweza kuyafanya meupe.
-