-
Marko 9:43Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
43 “Na ikitukia wakati wowote mkono wako wakufanya ukwazike, ukatilie mbali; ni bora zaidi kwako kuingia katika uhai ukiwa umeharibika viungo kuliko kwenda zako ukiwa na mikono miwili kuingia katika Gehena, katika moto usioweza kuzimwa.
-