-
Marko 10:42Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
42 Lakini Yesu, baada ya kuwaita kwake, akawaambia: “Mwajua kwamba wale ambao huonekana kuwa wanatawala mataifa hupiga ubwana juu yao na watu wakubwa wao hutumia mamlaka juu yao.
-