-
Marko 10:52Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
52 Na Yesu akamwambia: “Nenda, imani yako imekufanya upone.” Na mara akapata tena kuona, naye akaanza kumfuata barabarani.
-