-
Marko 11:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Na makuhani wakuu na waandishi wakasikia hilo, nao wakaanza kutafuta sana jinsi ya kumwangamiza; kwa maana walikuwa wakimhofu, kwa maana umati wote kwa kuendelea ulikuwa ukistaajabishwa na fundisho lake.
-