-
Marko 12:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Majira yalipofika akamtuma mtumwa kwa wakulima ili achukue kutoka kwao baadhi ya matunda ya shamba la mizabibu.
-
-
Marko 12:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Sasa katika majira yapasayo akatuma mtumwa kwa walimaji, ili aweze kupata baadhi ya matunda ya shamba la mizabibu kutoka kwa walimaji.
-