-
Marko 12:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Wakaleta dinari moja, akawauliza: “Sura hii na maandishi haya ni ya nani?” Wakajibu: “Ni ya Kaisari.”
-
-
Marko 12:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Wakaleta moja. Naye akawaambia: “Sanamu na mwandiko huu ni wa nani?” Wakamwambia: “Wa Kaisari.”
-