-
Marko 13:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Alipokuwa ameketi kwenye Mlima wa Mizeituni, huku hekalu likiwa linaonekana, Petro, Yakobo, Yohana, na Andrea wakamuuliza faraghani:
-
-
Marko 13:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Na alipokuwa ameketi juu ya Mlima wa Mizeituni hekalu likiwa laonekana, Petro na Yakobo na Yohana na Andrea wakaanza kumuuliza kwa faragha:
-