-
Marko 14:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Sasa baada ya siku mbili ilikuwa sikukuu ya kupitwa na msherehekeo wa keki zisizotiwa chachu. Na makuhani wakuu na waandishi walikuwa wakitafuta sana jinsi ya kumkamata kwa mbinu ya kiufundi na kumuua;
-