-
Marko 14:41Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
41 Naye akaja mara ya tatu na kuwaambia: “Kwa wakati kama huu nyinyi mmelala usingizi na kupumzika! Yatosha! Saa imekuja! Tazama! Mwana wa binadamu asalitiwa kuingia katika mikono ya watenda-dhambi.
-