-
Marko 15:32Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
32 Acheni Kristo Mfalme wa Israeli ateremke sasa kutoka kwenye mti wa mateso, ili tupate kuona na kuamini.” Hata wale waliotundikwa mtini pamoja naye walikuwa wakimshutumu.
-