-
Marko 15:46Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
46 Basi akanunua kitani bora na kumshusha chini, akamviringisha katika kitani bora na kumlaza katika kaburi lililokuwa limechimbwa katika tungamo-mwamba; naye akabingirisha jiwe hata kwenye mlango wa lile kaburi la ukumbusho.
-