-
Luka 1:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Siku za Herode, mfalme wa Yudea, ilitukia kukawa kuhani fulani aliyeitwa jina Zekaria wa mgawanyo wa Abiya, naye alikuwa na mke kutoka kwa mabinti za Aroni, na jina lake lilikuwa Elizabeti.
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Gabrieli anatabiri kuzaliwa kwa Yohana Mbatizaji (gnj 1 06:04–13:53)
-