-
Luka 1:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Lakini hawakuwa na mtoto, kwa sababu Elisabeti alikuwa tasa, na wote wawili walikuwa wamezeeka.
-
-
Luka 1:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Lakini walikuwa hawana mtoto, kwa sababu Elizabeti alikuwa tasa, nao wote wawili walikuwa wamesonga sana katika miaka.
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Gabrieli anatabiri kuzaliwa kwa Yohana Mbatizaji (gnj 1 06:04–13:53)
-