-
Luka 1:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Baada ya siku chache Elisabeti mke wake akapata mimba, naye hakutoka nyumbani kwa miezi mitano. Alikuwa akisema:
-
-
Luka 1:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Lakini baada ya siku hizo Elizabeti mke wake akawa mwenye mimba; naye akafuliza kujitenga mwenyewe kwa miezi mitano, akisema:
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Gabrieli anatabiri kuzaliwa kwa Yohana Mbatizaji (gnj 1 06:04–13:53)
-