-
Luka 1:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Lakini Maria akahangaishwa sana na maneno aliyoambiwa, naye akaanza kufikiria maana ya salamu hizo.
-
-
Luka 1:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 Lakini Maria akashtushwa sana na huo usemi na kuanza kuwazawaza hiyo ingeweza kuwa ni salamu ya namna gani.
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Gabrieli anatabiri kuzaliwa kwa Yesu (gnj 1 13:52–18:26)
-