-
Luka 1:41Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
41 Elisabeti aliposikia salamu za Maria, mtoto aliyekuwa tumboni mwake akaruka, naye Elisabeti akajazwa roho takatifu
-
-
Luka 1:41Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
41 Basi, Elizabeti aliposikia salamu ya Maria, kile kitoto kichanga katika tumbo lake la uzazi kikaruka; na Elizabeti akajazwa roho takatifu,
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Maria anamtembelea Elisabeti mtu wake wa ukoo (gnj 1 18:27–21:15)
-