-
Luka 1:44Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
44 Kwa maana tazama! niliposikia salamu zako, mtoto aliye tumboni mwangu aliruka kwa shangwe.
-
-
Luka 1:44Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
44 Kwa maana, tazama! mvumo wa salamu yako ulipoangukia masikio yangu, kitoto kichanga katika tumbo langu la uzazi kikaruka kwa mteremo mkubwa.
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Maria anamtembelea Elisabeti mtu wake wa ukoo (gnj 1 18:27–21:15)
-