-
Luka 1:65Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
65 Majirani wao wote wakaogopa, na mambo yote hayo yakaanza kuzungumziwa katika eneo lote la milimani la Yudea.
-
-
Luka 1:65Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
65 Na hofu ikawa juu ya wote wale wenye kuishi katika ujirani wao; na katika nchi yote ya milima-milima ya Yudea mambo yote hayo yakaanza kuzungumzwa pande zote,
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Kuzaliwa kwa Yohana na kupewa jina (gnj 1 24:01–27:17)
-