-
Luka 2:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Basi wachungaji wakarudi, wakimtukuza na kumsifu Mungu kwa sababu ya mambo yote waliyosikia na kuona, kama tu walivyokuwa wameambiwa.
-
-
Luka 2:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Basi wachungaji wakarudi, wakimtukuza na kumsifu Mungu kwa ajili ya mambo yote waliyoyasikia na kuyaona, sawa na walivyokuwa wameambiwa hayo.
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Wachungaji wanaenda kwenye hori (gnj 1 41:41–43:53)
-