-
Luka 2:44Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
44 Walisafiri umbali wa siku moja wakidhani Yesu alikuwa miongoni mwa wasafiri, kisha wakaanza kumtafuta kati ya watu wao wa ukoo na watu waliowafahamu.
-
-
Luka 2:44Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
44 Wakidhani kwamba alikuwa katika andamano lenye kusafiri pamoja, walimaliza umbali wa siku moja kisha wakaanza kumtafuta-tafuta kwa bidii miongoni mwa jamaa zao na wanaojuana nao.
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Yesu aenda hekaluni akiwa na umri wa miaka 12 (gnj 1 1:04:00–1:09:40)
-