-
Luka 2:48Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
48 Wazazi wake walipomwona wakashangaa, mama yake akamwambia: “Mwanangu, kwa nini umetutendea hivi? Mimi na baba yako tumekuwa tukikutafuta tukiwa na wasiwasi mwingi.”
-
-
Luka 2:48Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
48 Basi walipomwona wakastaajabu, na mama yake akamwambia: “Mtoto, kwa nini ulitutenda kwa njia hii? Tazama, baba yako na mimi tukiwa na taabu ya akilini tumekuwa tukikutafuta.”
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Yesu aenda hekaluni akiwa na umri wa miaka 12 (gnj 1 1:04:00–1:09:40)
-