-
Luka 2:51Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
51 Naye akateremka kwenda pamoja nao akaja hadi Nazareti, naye akaendelea kuwa mwenye kujitiisha kwao. Pia, mama yake aliweka kwa uangalifu semi zote hizi moyoni mwake.
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Yesu anarudi Nazareti na wazazi wake (gnj 1 1:09:41–1:10:27)
-