-
Luka 2:52Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
52 Yesu akaendelea kukua na kupata hekima zaidi, pia akazidi kupata kibali cha Mungu na wanadamu.
-
-
Luka 2:52Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
52 Na Yesu akafuliza kufanya maendeleo katika hekima na ukuzi wa kimwili na katika upendeleo pamoja na Mungu na wanadamu.
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Yesu anarudi Nazareti na wazazi wake (gnj 1 1:09:41–1:10:27)
-