-
Luka 3:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Lazima kila bonde lijazwe, na kila mlima na kilima visawazishwe; lazima barabara zilizopinda zinyooshwe, na barabara zenye miparuzo zilainishwe;
-
-
Luka 3:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Kila mtaro lazima ujazwe, na kila mlima na kilima vifanywe tambarare, na mapindi lazima yawe njia zilizo nyoofu na mahali penye miparuzo njia zilizo laini;
-