-
Luka 3:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Basi zaeni matunda yanayoonyesha toba. Wala msijiambie, ‘Abrahamu ndiye baba yetu.’ Kwa maana ninawaambia, Mungu anaweza kumwinulia Abrahamu watoto kutoka kwenye mawe haya.
-
-
Luka 3:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Basi tokezeni matunda yafaayo toba. Na msianze kusema ndani yenu wenyewe, ‘Sisi tuna baba yetu Abrahamu.’ Kwa maana nawaambia nyinyi kwamba Mungu ana nguvu za kuinulia Abrahamu watoto kutoka katika mawe haya.
-