-
Luka 3:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Yohana alikuwa amemkaripia Herode mtawala wa wilaya kwa kumchukua Herodia mke wa ndugu yake na kwa sababu ya matendo yote maovu ambayo Herode alikuwa amefanya,
-
-
Luka 3:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Lakini Herode mtawala wa wilaya, kwa kukaripiwa naye kuhusu Herodiasi mke wa ndugu yake na kuhusu vitendo viovu vyote alivyofanya Herode,
-