-
Luka 5:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Alipoacha kuzungumza, akamwambia Simoni: “Peleka mashua mahali penye kina, kisha mshushe nyavu zenu, mvue samaki.”
-
-
Luka 5:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Alipoacha kusema, akamwambia Simoni: “Vuta hadi mahali ambapo ni kilindi, nanyi watu shusheni nyavu zenu ili kupata mvuo.”
-