-
Luka 6:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Basi siku moja ya sabato moja ikatukia kwamba akawa anapita katikati ya mashamba ya nafaka, na wanafunzi wake walikuwa wakikwanyua na kula masuke ya nafaka, wakiyapukusa kwa mikono yao.
-