-
Luka 6:44Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
44 Kwa maana kila mti hujulikana kwa matunda yao wenyewe. Kwa kielelezo, watu hawakusanyi tini kutoka katika miiba, wala hawakati zabibu kutoka katika kijiti cha miiba.
-