-
Luka 6:48Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
48 Yeye ni kama mtu anayejenga nyumba, ambaye alichimba akaenda chini kina kirefu na kuweka msingi juu ya tungamo-mwamba. Baadaye, furiko lilipotokea, mto ulipiga dhidi ya nyumba hiyo kwa nguvu, lakini haukuwa na nguvu za kutosha kuitikisa, kwa sababu ya kuwa imejengwa vema.
-