-
Luka 9:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Lakini alipokuwa akisema mambo haya, wingu likatokea na kuanza kuwafunika. Walipokuwa wakifunikwa na wingu, wakaogopa.
-
-
Luka 9:34Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
34 Lakini alipokuwa akisema mambo haya wingu lilifanyika na kuanza kuwafunika kivuli. Walipokuwa wakiingia katika wingu, wakawa wenye hofu.
-