-
Luka 10:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Lakini mkiingia katika jiji nao wasiwakaribishe, nendeni kwenye barabara zake kuu na kusema:
-
-
Luka 10:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Lakini popote mwingiapo katika jiji nao hawawapokei nyinyi, tokeni mwende mwingie katika njia zalo pana na kusema,
-