-
Luka 10:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Tazameni! Nimewapa nyinyi mamlaka ya kukanyaga-kanyaga chini ya miguu nyoka na nge, na juu ya nguvu yote ya adui, na hakuna kitu kitakachowaumiza nyinyi kwa vyovyote.
-