-
Luka 10:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Yesu akamuuliza: “Ni mambo gani yameandikwa katika Sheria? Wewe unasomaje?”
-
-
Luka 10:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Yeye akamwambia: “Ni nini limeandikwa katika Sheria? Wewe wasomaje?”
-