-
Luka 10:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 Yesu akamjibu: “Mtu fulani alikuwa akishuka kutoka Yerusalemu kwenda Yeriko akavamiwa na wezi, wakamvua nguo, wakampiga, kisha wakamwacha akiwa karibu kufa.
-
-
Luka 10:30Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
30 Kwa kujibu Yesu akasema: “Mtu fulani alikuwa akiteremka kutoka Yerusalemu kwenda Yeriko akaanguka miongoni mwa wapokonyaji, ambao walimvua nguo na pia kumpiga, wakaenda zao, wakimwacha yeye nusura kufa.
-