-
Luka 11:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Ikiwa ninawafukuza roho waovu kupitia Beelzebuli, wana wenu wanawafukuza kupitia nani? Hiyo ndiyo sababu watakuwa waamuzi wenu.
-
-
Luka 11:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Ikiwa ni kupitia Beelzebubi mimi hufukuza roho waovu, ni kwa nani wana wenu huwafukuza? Kwa sababu ya hilo wao watakuwa mahakimu wenu.
-