-
Luka 11:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Lakini mtu mwingine mwenye nguvu zaidi yake anapomshambulia na kumshinda, humnyang’anya silaha zake zote alizotegemea, naye hugawa vitu alivyompora.
-
-
Luka 11:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Lakini wakati mtu fulani mwenye nguvu zaidi yake ajapo dhidi yake na kumshinda, yeye huchukua zana zake zote za vita alizokuwa akiitibari, naye hugawanya vitu ambavyo yeye alimpora.
-