-
Luka 12:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Kwa hiyo, mambo mnayosema gizani yatasikiwa nuruni, na mambo mnayonong’ona katika vyumba vya faragha yatahubiriwa juu ya paa za nyumba.
-
-
Luka 12:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Kwa sababu hiyo mambo msemayo gizani yatasikiwa nuruni, na mnong’onalo katika vyumba vya faragha litahubiriwa kutoka paa za nyumba.
-