-
Luka 12:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Na kila mtu asemaye neno dhidi ya Mwana wa binadamu, hilo atasamehewa; lakini yeye akufuruye dhidi ya roho takatifu hatasamehewa hilo.
-