-
Luka 12:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Angalieni vema kwamba kunguru hawapandi mbegu wala hawavuni, nao hawana bohari wala ghala, na bado Mungu huwalisha. Nyinyi ni wenye ubora zaidi kama nini kuliko ndege?
-